Jeremiah 12:13

13 aWatapanda ngano lakini watavuna miiba;
watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote.
Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako
kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.”
Copyright information for SwhNEN